Bado nasoma jumbe zenu za goodwill wakati mnanipambania nikiwa matatizoni.
Kwa kweli ni nyingi.
Mimi ni mtu mzima na jasiri, lakini baadhi ya jumbe zenu zinanitoa machozi
Ni kama nasoma wasifu wangu kwenye msiba wangu mwenyewe.
Asanteni sana
Siwezi kuwashukuru mmojammoja
“Tunaenda kwenye mapambano makali ya Kudai Katiba Mpya, kwa njia za Kidemokrasia maaandamno na nguvu ya umma.”-; Mhe. Lissu
#D25Tunatoka#D25#SamiaMustGo
Huyu jamaa alipigwa risasi ya shingo Oktoba 29 ila Mungu alimsaidia akapona.
Ukimskiliza vizuri utagundua kwamba alipopelekwa Hospital ya awali hakupatiwa huduma mpaka yeye mwenyewe alipoomba kupelekwa Mount Meru.
Huu ni ushaidi mwingine kwamba kuna ndugu zetu wengi sana walikufa kwa kukosa huduma baada ya kupigwa risasi Oktoba 29.
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo
Fatuma Robi Marwa ametekwa mkoani Mara akitokea Sokoni. Lengo lao wanamtafuta kaka yake ambae ni mwanaharakati huko Tiktok maarufu kama Trum Adui wa Samia.
@MariaSTsehai@lifeofmshaba@TitoMagoti
Oyaaa Machalii, Bro niko Gado, nakula CHABO😁😁
Huyu niaje-niaje kaingiza hewa, hakuna kitu anasema iko solid. Ni kelele za bure, hakuna haki, hakuna ukweli.
Mwendo ni ule ule, hakuna kubadilisha gear ,
🚫 BAN.
🚫 BAN wasanii wote wanauza uongo.
🚫 Huyu pia piga BAN , unfollow, no streams, no hype.
Hatutabebi ujinga juu ya clout.Hatutabeba propaganda juu ya beats. Ukipotosha watu kwa mic, ukikanyaga haki juu ya likes, tunakuonyesha dust.
Sanaa bila ukweli ni scam.
Na scam hatu buy, tuna cancel. Yoyote anapotea njia anaachwa nyuma, alone. BAN
Waliofuatilia Misa ya MSIBA wa leo wanasema TULIA hakuwepo kwenye MISA HIYO.
Huku mitandaoni anaendelea kupost MAFUMBO kila kukicha. Kumbuka huyu aliweka nia kugombea USPIKA kwenye bunhe haramu akaishia KUJITOA.
Leo baada ya ibada ya mazishi anatupostia “Siri ya mtungi….” Hapa anataka tumalizie “Aijuae KATA” swali kwako “Kata ni nani?”
Na ni siri gani inaongelewa hapa zama hizi za GIZA?
Acha Kiwake.
TUTAKUWEPO🫵🏾����
@Jambotv_ 1.Mawazo ya Paulo si maagizo ya Mungu
2. Kwa nini huyu anachanganya dini na siasa?
3. Tungeamini kama kweli anayajua maandiko angerejea Mit 29:2 Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.
Chawa 🚮
Hawa ndugu zetu, sidhani kama tutawaona tena, labda sisi wananchi tuwatafute watekaji kwa bidii bila kuchoka, basi angalau watupe mifupa yao. Lakini siku inakuja ambako kila lililo tendeka gizani litafurumiwa hadharani.
MAREHEMU RUGE ALIWAHI KUSEMA OGOPA MUNGU NA TEKNOLOJIA.
Jana Gazeti la @MwananchiNews lilipost hii habari kwenye page yao ya Instagram kwamba Watalii wameongezeka Zanzibar.
Wakati hii picha frame 1 ni ya September 2019 na hii nyingine November 2024 lakin Mwananchi wamepost kuaminisha watu ni picha za jana na juzi.
Najiuliza kwanin wanapost mambo ya uwongo? lengo lao ni nin? yani wanadhan wanamdanganya nan?
Sasa ukiona mpaka inafika mahali Serikali inatumia media kubwa kama @MwananchiNews kuandika habari za uwongo na propaganda basi ujue Biashara ya Utaliii imedoda watalii hakuna kabisa ndo maana wanalazimika kufanya propaganda ili kuwahadaa Wananchi ili waone kwamba hali ni Shwari
Bahati nzuri hata Wananachi wenyewe wanajua kwamba hali ni mbaya sana.
My fellow Tanzanians mnaotukejeli, kutudhihaki, kutubeza na kutukebehi sisi tunaopambania haya mabadiliko!!
Plus wote mnaotaka kutuua, kutupiga, kututeka, kututesa na kutufunga sisi tunaopigania haya manadiliko!!
MNAKOSEA SANA MNAKOSEA MNO!!
Mnaweza msione umuhimu wa haya tunayoyapigania leo kwa sababu ya nafasi mlizoko sasa……..!!
Siku moja mtaona umuhimu wake na itakuwa too late…..mtatamani mngetuunga
mkono!!!
Tanzanians marked their Independence Day under lockdown, with heavy security, social media restrictions, and unsanctioned gatherings outlawed to stifle expected protests. Recent deadly violence and this week's nationwide clampdown show Tanzania is neither stable nor a place where U.S. investment can thrive. This puts hundreds of American companies at risk and makes it clear the urgent need to review the bilateral relationship and U.S.-backed investments.
Tukitangaza MAANDAMANO siku ya show ya MSANII kuna MAWILI MAKUBWA.
1. Msanii ataahirisha SHOW na kuingia HASARA.
2. Wananchi TUTAANDAMANA kupekeka ujumbe wetu kwa WAKOLONI WEUSI.
Hapo Washindi ni sisi wananchi. Kama watatulaza NDANI wananchi na Wasanii basi tumekosa Wote UNYAMA tutasubiri Show nyingine na sisi tutaitisha maandamano mengine.
Yani ni “WEKA TUWEKE” bila kuchoka.