@Mohamed22471846@godbless_lema Watu wanapinga mkataba cyo uekexaji rekebishen vifungu wanavyopigia kelele then wapen hao DP world bandar shida ipo wap mtumwa wa fikrq?
@HijaAlly1@EduTalkTz@AbuuNyungu Mnataka kusema wanawake wote wa kuanzia miaka 22 had mia single hawapo? Na kama wapo hawat kuolewa had mje mdhulumu hao watoto?
Halafu miaka miwili kwenye ndoa inamshinda unampata talaka zako tatu unao kingine what a barbaric society?
Ww utakubal nije nimchukue bint uako?