@nyuki_malkia Kak wacha nikushaur namie kidg juu yahuyo dada huyo dada anakupenda san Na kumbuka sisi wanawake Au niisemee nafs yangu binafs huwa tupo hv Kwa wapendw wetu ambao tyr tushawawek mioyon mwetu huwa tupo radh kuwaomba hela wanaume tusio wapend lakin kamw hatuwez kuwaomb tuwapendao