@decute_felister @IdrisSultan Dah vijana wa hovyo siku zote wanakuwa na fikra za hovyo sana π
What if angekuwa ni bimkubwa wako ndio ameandikiwa maneno uliyoandika wewe? π‘
@earadiofm EastAfricaRadio mnatia aibu mjue π
Visibility study ndio mdudu gani???
Zamani nilikuwa nafahamu vyombo vya habari wanaweka watu makini sana ktk uandishi na kusoma taarifa/habari lkn kumbe haipo hivyo π€¨