@shabanilukali@Malicky80@fatma_karume I understand the question ila hili swala linauwanja mpana mm tangu napata fahamu naona mashekh wanajitahid kutoa elimu juu ya hilo but nothing change
@prossoff Ukiwa bado hujafa basi tambua hujamaliza kuumbwa. Tunaelewa unatafuta comments nyingi, like na repost but hii twit haipo sawa futa na useme Astagfirullah.
WaZanzibari 100% ni waislaam wazee na viongozi wetu walipambana na kupigania maadil mema ya kiislam inakuaje leo turidhie kuongozwa namna hii maadil yote yamepotea.
SURATUN **AN NAHL ** (AYA YA 100)
Mwenyezi Mungu anadhihirisha wazi kabisa kuwa Shetani hana uweza wa kumtia mtu
katika ma-asiya akitaka asitake. Tukimti Shetani tunamtii kwa kutaka kwetu sio ametuzidi nguvu au ametutia pingu.