Mambo kuwa magumu , mazingira kutokuwa rafiki au watu kuwa kinyume nami havinifanyi hata siku moja nisitabasamu katikati ya hayo .
.
.
Kumbuka changamoto kubwa na magumu unayokutana nayo hayamaanishi kuwa... https://t.co/TsLhV6oN3U
We can keep complaining and crying over the past. Yes our history has been eradicated, Yes, our people have been separated, incarcerated, mutilated, Yes, we are the most oppressed human beings on the planet. But... https://t.co/PWb2OwbFiZ
*๐นHivi, unajua kwamba kila mwanadamu aliumbwa kwa "sababu" fulani?, Una jua kwamba, Mungu alikuumba uje ufanye "kitu" fulani hapa Duniani?, Na kama unajua kwamba uliumbwa kwa sababu fulani, je, hiyo "sababu"... https://t.co/vp2DAcG62P
Mimi kesho pengine sitokuwepo kwenye taifa Lao mtakao kuwepo hata mkiwa wazee waambieni kwamba
"Kuna MNGONI Mmoja mwanaume aliabudu Sana kwenye kiswahili huku akiamini kupitia tamaduni, kwa kiwango cha... https://t.co/cWvEIydOYY
KUOLEWA NI NDOTO KUU YA KILA MWANAMKE
ALIYEKAMILIKA ILA KAMA UNA TABIA HIZI
UTAZEEKEA NYUMBANI*
*1. Tamaa ya utajiri* fedha na mali nyingi pasipo
kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi
hupoteza nyota zao kwa... https://t.co/uD551zQxgS
MWANAMKE ANAYEJIELEWA.
Kama ngono ingekuwa inamfanya mwanaume aowe basi pengine makahaba wote wangekuwa wameolewa maana wengi wako vizuri,inshort hiyo shughuli wanaiweza tena sana tu.
Mwanaume anakaa na... https://t.co/6G4R4n2gog