@CavityDamas23 hizi mambo sizani kama sinapatikqna private ila kwa gavo kawaida kuna kipindi nishawai funga rasta shule na ni gavoo sababu mshua alienda kuwapa maelekezo walimu akamshikisha mkuu na nidhamu fedha mbona nilikua bobu fresh tuu
@kasesco_tz yeah ni kweli kitu muhimu ukisha dondoka kubali kwamba upo chini itakusaidia kunyenyuka sasa wengi hatuwezi nyenyuka kwasababu umedondoka lakini still unakomaa kwamba upo sawa that's is problem huwezi tatua tatizo kama hulijui ๐๐ฝ
@fintanjr_ Daaa imenigusa sana hii kipindi hiki nakumbuka tukiwa tunataka kwenda kulala tupo nje familia kwa ujumla bibi anatupa hadithi kuhusu mashujaa wa kijijini majanga ya fisi shangazi anatupa hadithi za sungura mjanja hapo tunaota moto kipindi hicho hakuna story za shangazi mchawi