Nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza 2024 ,Pia Pre-form one kwa wanafunzi watakao maliza darasa la saba mwaka huu, zimeanza kutolewa katika shule yenu bora mkoa wa Dar Es Salaam (RIDHWAA SEMINARY).. Karibu shuleni ujipatie form
Piga: 0674334172 🇹🇿
Matokeo ya kidato cha nne 2023-mock mkoa wa Dar es salaam.
Shule imeshika nafasi ya kwanza mkoa wa dar es salaam.
Mlete mwanao ajifunze mbinu/njia 13 za kujisomea ili apate kufaulu.
Ada yetu ni nafuu sana asikwambie mtu
Nafasi za kidato cha tano 2023/24 na kidato cha kwanza 2024 zimeanza na zinaendelea kutolewa hapa shuleni. Ewe mzazi na mlezi mlete mwanao apate elimu bora ya mazingira na kidini.... tupigie 0674334172
Alhamdulillah now become 28 years since @RIDHWAASEMINARY began.. Tunawashukuru sana wadau mablimbali wa elimu, waumini na wazazi kwa kuruamini.
Karibuni sana
Pre form five starts on 06th february 2023...
COMBINATIONS TAUGHT👇👇👇
Science : PCM, PCB, CBG
Arts: HGL, HGE, EGM, HKL, HGK, KLA
WELCOME TO HOME OF INTELLIGENT
THIS IS WHY YOU CHOOSE OUR SCHOOL
🌾🌾🌾🌾🌾🌾🌾
NECTA ACSEE 2022 👇👇
1st position in kinondoni disctrict out of all school
2nd position in Dar es salaam region out of 44 school...
25th position national wise out of 644 schools..
NOW IS ENTRANCE FOR FORM V 2023/24
Baraza la Mitihani la Tanzania limeamua kuwapa fursa watahiniwa wa Darasa Saba 2,194 waliofutiwa matokeo kufanya Mtihani wa Marudio. Mtihani wa Marudio utafanyika tarehe 21 na 22 Desemba, 2022.
Baraza la Mitihani la Tanzania limeamua kuwapa fursa watahiniwa wa Darasa Saba 2,194 waliofutiwa matokeo kufanya Mtihani wa Marudio. Mtihani wa Marudio utafanyika tarehe 21 na 22 Desemba, 2022.