Mtu anafungua account ya kuiza kinembe anaoata 27k followers in a month mimi niko na miaka kama tatu na ningali nachezea thao moja๐ฅฒ
Swali bado ni moja
Huwezi ona mwanaume akikuja kwa hizo podcast kusema ubaya ya ex wake lakinj mwanamke ataruka frok one to another to try and get sympathy. Kama huyo wa kabu
Zile vitu sifuna anatusi sifuna ndo zike tulikua tunatusiana mchongoano shuleni. Na mtu alikua anasema hixo ni mtu amechongolewa na hana comeback sasa anajaribu tu anything.
Sifuna is big and loved the whole country
Respect him