#Bazeyetu nende @grace_nelter alala nende Alvine Ambe khuli nende @RaassGido ukholanga inganga yo khukusia tsiingokho yani Kuku Shop Kibere.
Nawe ihustle yao ni irena?
Khuli mu #JitumeTuesday
HIMIZO LA SIKU..Isa 43:1-5
.....Usiogope, maana nimekukomboa; nimekuita kwa jina lako, wewe u wangu.Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito,haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea;wala mwali wa moto hautakuunguza.
#MwambaWabaraka@DorahManya