Unaposema "Benz," watu wengi wanajua unazungumzia gari la kifahari, lenye hadhi na historia ndefu.
Lakini ukilitaja kwa jina lake kamili, Mercedes-Benz, unaweza kujiuliza, "Hivi kwa nini lina majina mawili? Mercedes imetokea wapi?"
Kampuni ya Benz ilianza mwaka 1886 chini ya Carl Benz, mvumbuzi wa kwanza wa gari linalojiendesha kwa injini ya mafuta (internal combustion engine).
Wakati huohuo, kulikuwa na mjamaa mwingine nchini Ujerumani, Gottlieb Daimler, ambaye naye alikuwa anahangaika kubuni injini za magari kwa kutumia kampuni yake, Daimler-Motoren-Gesellschaft (DMG).
Mara nyingi watu hufikiria Benz na Daimler walikuwa marafiki au washirika, lakini la hasha!.
Hawa watu walikuwa washindani wa moja kwa moja, kila mmoja akijaribu kuunda gari bora zaidi.
Miaka 15 baada ya kuanzishwa kwa kampuni ya Daimler, historia ilianza kubadilika pale jamaa mmoja kutoka Austria alipowasili.
Lamine Yamal
Fundi wa kandanda wa Gene Z
Mtoto mdogo aliyewaweka mfukoni wachezaji wakubwa mpaka.
Kijana mdogo anayeinyima furaha Real madrid na mashabiki zake 😂
Mrithi wa Messi .
Video 10 za fundi mekusogezea
Kama wewe ni shabiki Madrid usiangalie hii 🔥😂—-Tazama👇🏿