Pesa isikupe kiburi Cha kuwaona wengine ni worthless. Ikumbukwe kuwa wote tutalala kwenye futi sita bila kujali wadhifa wako duniani ishi na watu vizuri.
Dayna Nyange Akijibu swali la ilikuwaje Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platinumz aliiba wimbo wake mwana dada huyo alijibu.
"Anasema Baada ya mimi kuomba collabo kwa Diamond Platnumz na kukubaliwa na msanii huyo kutoka Wasafi Entertainment saivi mnaita WCB kwa kigezo cha kumuachia wimbo Diamond Platinumz ili aweze kuufanyia mazoezi.
Dayna Nyange aliendelea kusema...
Fungua Uzi 🧵⤵️
If you hit, you won’t get away I’m like good food, you’ll want it again. and sorry, not everyone gets my taste, someone’s already biting these thighs 🥴🤯🥹😂