wowote wenye ushahidi wa tarehe 29🤏msikubari kupanda kwa live yoyote kutoa ushahidi hata ukiweka private hao wauwaji wanakupata chakufanya nenda kwa mwanahalakati unae mjua DM🤏ka mwambie asanteni pia wanahalakati fungueni dm zenu ni lazima siyo ombi thank you kuwa tumikia watan