*Round of 16 | MATCH OF THE DAY*
*Fixture:* Canada 🇨🇦 vs Morocco 🇲🇦
*Date:* 4 July 2026
*Kick-off:* 20:00 EAT
*Venue:* Houston Stadium, Houston
#WorldCupIkoKBC ^DA
Gavana wa Kakamega, Fernandes Barasa, leo amewaongoza wakazi katika Maombi ya Asubuhi ya kaunti hiyo (Prayer Breakfast) yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Bukhungu. Viongozi wa dini wametoa wito wa kuwepo kwa uvumilivu wa kisiasa.
^DA #IngoFM
El Nino will quickly develop into a strong event between July and September, fuelling the likelihood of extreme weather, the United Nations' weather and climate agency has warned.
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna amewasili eneo la Kitutu Chache Kusini, ambapo anatarajiwa kuongoza msafara wa 'Linda Mwananchi' kwenye ziara yao leo katika kaunti za Kisii na Nyamira.
^DA #IngoFM
Wapenzi ambao ni washawishi wa mitandaoni wamekamatwa baada ya kupanda hadi kilele cha Jengo la Empire State, wakipeperusha bendera inayotoa mwito wa amani ya dunia na, hatimaye, kuvishana pete ya uchumba katika urefu wa futi 1,400.
^DA #IngoFM
*Photos*
Deputy President Kithure Kindiki joins regional dignitaries during the official opening of the 26th Annual General Meeting of the African Trade and Investment Development Insurance (ATIDI) at the Serena Hotel, Nairobi City County, Kenya.
^DA #IngoFM
Familia moja kutoka kijiji cha Mukinduri huko Gatundu Kusini, Kaunti ya Kiambu, inadai haki kufuatia madai ya kulimwa mwilini (kudhulumiwa kingono) na kuuawa kwa binti yao mwenye umri wa miaka 34 na watu wasiojulikana.
^DA #IngoFM
Seneta Boni Khalwale-"Ni afadhali nijiuzulu kama Seneta wa Kakamega na kusimama bega kwa bega na watu wangu kulinda urithi wetu wa uchimbaji dhahabu, kuliko kushuhudia wakipoteza ardhi ya mababu zao kupitia dhuluma."
^DA #IngoFM
Chama cha ANC was merged na UDA. Sahii tuko UDA mambo ya kusema court hizo ni sarakasi tu. Kuna watu wapenda kuenda enda kortini lakini sisi ni UDA.
^DA #IngoFM#Mumabwibwi
Mheshimiwa Beatrice Adagala azungumzia maswala ya kusemekana kuwa wazazi wanawatuma watoto wao kufua nguo katika kituo cha polisi cha Gambogi.
^DA #IngoFM
“It’s a source of pride and joy. We’ve qualified for the knockout stage, so for the people of Côte d’Ivoire, this is a source of pride." ~ Nicholas Pepe,Ivory Coast forward
#WorldCupIkoKBC# ^DA
Ni obusosi khu abamenyi ba Emalava olunyuma lwa omukanda kwa etsi kura kwa IEBC okhuchachia obuhandichisi bwa abakhupi ba ekura abayiakha khu tsinyanga salasini.
^DA #IngoFM