About
Kwa Mipasho ya Habari, Miziki na Tamaduni za Kiafrika . 103.7 FM
Tuko Bungoma , Tranzoia, Uasin Gishu, Siaya, Kakamega, Busia Kaunti hadi Jinja Uganda
Mjadala.......Mke alienda kuona wazazi,alipoenda mme akaleta mchepuko kisha akasahu vazi la ndani,mke amerudi amepata vazi hilo sasa mme anamwambia alianua nguo zake pamoja na hilo vazi la jirani yake,sasa umewaka... https://t.co/X6DbdCYDrC
Mjadala....Kwa nini wezi hupenda kuvamia na kuiba katika maboma ya wanasiasa na viongozi mbalimbali tajika,kisa cha hivi punde wezi waliiiba mayai katika boma la naibu wsa rais William Ruto.Maoni yako.
LEO NDANI YA BLESIKA KILA KITU NI #BACKTOSCHOOL .NAMUONA Lydia Wanaswa AKO TAYARI ANATABASAMU TU! Pirry M Wambia AMEJIPANGA NA BURUDANI TOSHA. BAZENGA PIA HAJAACHWA NYUMA. ITS A FULL HOUSE!KOSA UCHEKWE.WAPI REQUEST ZA STUDENTS? #urbangospel#vijananachrist
Mjadala.....Mme ameamua kwenda kanisani kutangaza kuoa mke wa pili mke wake wa kwanza anamsumbua sana,Je hii mbinu ya huyu jamaa iko sawa? Wakati unaoa mke wa pili unafaa kufata utaratibu gani??
Mjadala....Maafisa wa polisi wa trafiki kujisajili upya kwa mafunzo leo ikiwa ni siku ya mwisho,Je mafunzo haya yatawafaa ili kumaliza ufisadi katika sekta ya uchukuzi nchini?Tupe maoni yako
Mjadala........Mke achomwa kwa maji moto na mpango wa kando wa mmewe,anauguza majeraha kwa Hospitali kule Khwisero Kaunti ya Kakamega,Je kutumia maji moto kuleta sluhu katika mitaguzano miongoni mwa wanandoa?
Mjadala......Baada ya viwanda mbalimbali vya miwa vilivyoko Magharibi mwa Kenya kufilisika na kufunga huduma zake kwa wakulima ikiwemo malipo,Je imefika wakati viwanda hivi viuzwe kwa wamiliki binafsi?
Mjadala....Misiko nikiwa Sangalo Nilipeleka juzi ndama kama mahari kwa mke wangu lakini baba mkwe amekataa anasema niende nitafute ng"ombe ndio akubali mahari hayo.....Naomba ushari
Mjadala......Siku za wahudumu kupata leseni zikiwa zinayoyoma...mwakilishi mmoja wa wadi toka kaunti ya UasinGishu sasa amejitolea kuwapeleka wahudumu wa bodaboda wajipatie mafunzo na leseni kabla ya mda huo,Je... https://t.co/vrCKgWeMi0