Twende Swahili Festival jijini Nairobi tukasherehekee utamaduni, ladha na raha ya Uswahilini..
Yusuf Dishes watakuwepo wakituletea utamu halisi wa Pwani kupitia pilau yao tamu!
Tukutane tulizamishe jiji la Nairobi kwenye mdundo na haiba ya Pwani!
#SwahiliFestival#coastal
Managu ikipikwa solo ni poa, lakini ukiongeza kitunguu, nyanya na garlic, flavour hupanda juu kama Wi-Fi ya jirani.
Watoi watapenda hio taste! Jaribu leo na ugali ama rice.
#KwaMezaTwaweza#vegetables#culinary#foodfitti
Desty Events and Marketing wanawaletea Swahili Festival 3.0, sherehe itakayoangazia utamaduni, chakula, mavazi na muziki wa Pwani.
Team Radio Kaya Jijini twasija...
Twende jijini, twende Swahili Festival...
#Swahilifestival#swahili#Coastal#swahiliculture#coastalmusic
Leo ni miaka minane tangu kifo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan, anayekumbukwa kwa mchango wake katika kuleta amani nchini Kenya baada ya ghasia za uchaguzi wa 2007.