@mee_nicodemus@LIAMWebber475 Kwahiyo we unaamini Ballon D'or zinaenda kwa kura tena za kificho? Kwamba modric alipata nyingi kuliko Ronaldo 2018, Messi alipata nyingi kuliko van djik 2019, au Rodri alipata nyingi kuliko Vini? Tuzo ya kificho acha iwe fiche ila hizo Open Polls ni tofauti
@Malengo25 Diarra
Djuma
Kibwana
Mwamnyeto
Job
Bangala
Aucho
Feisal
Farid
Moloko
Mayele
Hicho ni kikosi kilichoanza kwenye Derby ya Ngao ambayo Simba alifungwa 1-0 na siyo tu kufungwa Mpira aliutafuta kwa Tochi hapo Timu nzima iliingia na Wachezaji wapya 7 na bado sub 4 walikuwa wapya