🌍✨ OFFICIAL TRAILER ALERT! ✨🎬
The wait is over! Witness the breathtaking journey of Guardians of the Peak—a powerful documentary highlighting the beauty of Mount Kilimanjaro, the importance of environmental conservation, and the unbreakable bond between Tanzania & China.
@CAF_Media Hii ni aibu kubwa sana. Goal la Yanga vs Mamelodi melikataa vipi. Hakuna haja ya VAR macho tu yaanatosha kuhakiki. Tuongee Uzaleondo Watanzania, Ushabiki tuweke pembeni.
Watani zangu mlistahili kuingia Nusu Fainali. @YoungAfricansSC
Hii hapa Filamu ya Bongo kwenye levels za Dunia ni Filamu ya Mapigano (Action Movie) ya NYARA The Kidnapping, sasa inapatikana Netflix Duniani kote, imeandaliwa nchini Tanzania kuanzia Waigizaji na Timu nzima ya Waandaji ambao ni Kampuni ya Wanene Studios.
#MillardAyoENT