Kuna wakati kushindana katika maisha sio kosa, ila shindana kimya kimya ikiwezekana ushinde kimya kimya ili hata ukishindwa ushindwe kimya kimya.
Good Morning Family.
Ila umasikini mbaya nimeamka nijichemshie maji yangu ya kuoga nishaweka tuhiriki niwashe gesi deep down nikajiuliza hivi gesi ipo kweli? weirdly nikasema bwana Yesu naomba nikute gesi humu am too broke for this😂😂 gesi ni ya kupigia maombi kweli 🥹🥹
Mungu hawezi kuwa upande wako wakati kuna kitu kipo juu yako.
Huwezi ishi maisha ya Amani na furaha ikiwa utulivu wa moyo wako unategemea furaha ya mtu Mwingine.
Good morning.