Adamu alikuwa peke yake siyo mpweke. He was alone not lonely. Mungu hakushuka kumtengezenea mwanamke azibe nafasi ya upweke bali asiwe peke yake. Unaweza kuona kipaumbele cha Mungu siyo upweke bali mtu wa kushirikiana naye kwenye maono Duniani. Upekwe ni kitu cha pili siyo kipaumbele cha kwanza. Ukiona mwanaume aliyeko busy na kuziba upweke hana maono. Kichwani hakuna kitu cha kumshughulisha na kuchukua uanaume wake.
Mwaka 2020 nilikaa karibu na mzee mmoja kwenye basi la kutoka Arusha kwenda Dar es Salaam.
Kwa saa tatu hatukuongea.
Lakini sentensi yake ya kwanza ndiyo ilifanya nisitamani safari iishe.
๐๐ผ
Kabla ya Mungu kumjibu mwanaume kuhusu mke lazima amtengeneze
1. Mwanaume awe na uhalisia wa ndani na fikra za umamlaka. Mungu hataki mwaume nyoronyoro.
2. Mwanaume mwenye mkao na fikra za kifalme. Familia ni sehemu ya utawala wa mwanaume lazima awe na mkao huo.
Mungu hatoi