@Sirajitz1 Kiufupi bint alikubali ndio maana akaolewa, Shafii hakuwa na Makengo na huyo bint miaka mi5 na kwa hawakujui, bint stsrnda kwenye ndoa atabeba mimba atazaa watoto na bwana shafii itabaki story
@ChiefLumanyika Ameshakuwa makamu wa Rais inamuhakikishia Pension na allowance za kila namna ya nini ufanye kazi
Wakati pesa za bute zinakuka ukiwa nyumbani
Nyumba, gari, ulinzi nk kapiga hesabu vizuri
@Phbhimself Huyo mwanamke ni malaya tu ndio maana didy alikuwa akimtenda kiumalaya
Unakubali vipi kuliwa mbele ya mumeo kama wewe sio malaya na au mwwndawazimu?
@MarcoMzumbe Mbona timu.haijafanya vibaya bado mtani ana timu nzuri anatakiwa tu kuboresja maeneo kadhaa na kuacha sajili za kisiasa nzile za ukanda mmoja