@juniordreadd hakuna unibamba kama ile time unadance, my best moment everππ pia @StanoDj next awachilie TT tuone na mkali wao.
Representing babayao base A. Rujiine alongside Anton,Brian,Mike na crew yote kwa mpigo.
#TheRaveKbc#ReggeMusicSoNice
#NenoLaLeo...Zaburi 37:25,26...
Nalikuwa kijana nami sasa ni mzee, Lakini sijamwona mwenye haki ameachwa Wala mzao wake akiomba chakula.Mchana kutwa hufadhili na kukopesha, Na mzao wake hubarikiwa. @EvahMwalili@Milele_FM#BarakaZaMilele#ItambeMilele