@Sativa255 Sijajua deni la mzee lilikuaje, ila mikopo inakuaga na Bima.
Binafs baada ya mama kufariki, deni lake lilikufa mana mkopo wake ulikua na bima (hii ilikua NMB)
Hii ni basic knowledge, Mtanzania yyt lazima afahamu
-Kila kinachofanywa na kiongozi ni wajibu wake, si msaada wala si hisani
-Kila fedha inayotumiwa ni ya Mtanzania, hakuna hata sentano ya serikali
-Hakuna kiongozi aliye juu zaidi ya Mtanzania, hawa vibwengu ni waajiriwa wetu
Looking for affordable and reliable web hosting with cPanel? Get fast, secure, and easy-to-manage hosting for your website today!
Learn more: https://t.co/YxPh59AQyd
Imagine kwenye hii Tone Tone ya CDM inayofanyika mikutanoni, Lile kapu la pesa linavyotembea mbele ya raia na huoni hata raia mmoja akiiba pesa, akilipora kapu,akileta fujo na kukimbia nalo kapu!
Badala yake raia wanachanga kwa amani na upendo bila jinai yoyote kutokea!!
👏👏👏
Watu kama hawa unakujaje kusema hiki chama kinaleta fujo? Kinavuruga amani? How?🤷🏿
Watu kama hao unakujaje kuwapiga virungu mahakamani ukisema wanaleta fujo wanahatarisha amani ya nchi!!
Wanaovuruga amani na kuchafua nchi ni serikali na dola yenu!!