Anko
"Katika Maisha Unaweza Kutumia Siku Moja Kumdharau Mtu. Lakini Itakugharimu Miaka Mingi Sana Kujiuliza Kwanini Ulimdharau
Ujue kwanini anko
Kwa Sababu binadamu anayepumua Alipokuwa Jana ni tofauti na utakavyomwona Leo na kesho pia.
Ili swala la mapenzi kwanini Mungu asingetusaidia tuu kila mtu ampeleke kwa aliemuumba kwaajili yake sisi tukatafuta pesa tuu maana ili swala la gusa achia twende kwa mwingine linachosha sanaa🤣
Ili swala la mapenzi kwanini Mungu asingetusaidia tuu kila mtu ampeleke kwa aliemuumba kwaajili yake sisi tukatafuta pesa tuu maana ili swala la gusa achia twende kwa mwingine linachosha sanaa🤣
Kuanzia kesho nitakua active kwaajili ya kuwahudumia wateja wangu wa fanty dagaa ,weka oda yako mapema upate mzigo wako kwa wakati
Sado 25k
Ndoo ndogo 70k
Ndoo kubwa 130k
📍Mwanza
🚚mikoani natuma
📞0756195726
Stress za mapenzi ni mbaya sana nakumbuka siku moja asubuhi mpenzi wangu aliambia its over between me and you, nilikua mgahawani nililia Sana watu wakawa wananiuliza shida nini nikawa nawaambia Supu ni yamoto.. 😭