Wacha sasa tutizame highlights za hapo Puskás Aréna kati ya mwana PSG na bingwa mara sifuri (0) wa kombe la klabu bora barani Ulaya. Kumbuka Arsenali anajivunia wachezaji maarufu kama vile King Kai almaarufu 'Big Game Player' na Eze Ndung'u. Tatu mtungi ndio ubashiri wangu mamaee
🚨 JUST IN!!
Ousmane Dembele and Kvaratskhelia had a misunderstanding as both players were having a heated argument over who will score the 5th goal tomorrow 😂🔥