@HildaNewton21 Watu wanakuita na wewe ukwenda kufanya nini kwanza km wewe hauna akili mtu km anashida na wewe si akufuate kwako Watu kila pa kicha ni utekaji na we unaitwa unanyua masikio unakwenda huko ni kujitakia wajemeni!
@Kahawa260@wilbroadaugusto@me___steph Mimi nitaweza kukupa ushauri ila tu matatizo na changamoto zako zisihusiane na maswala ya kimapenzi bibie!hiyo ni ngumu kukupa ushauri!
Ligi Kuu & CAF vyote kwa pamoja milango imeshafunguliwa wiki hii, ombi letu sisi kama mashabiki wa Yanga tunaomba mtuambie mapema ni mchezaji gani wa Yanga yupo kwetu kwa mkopo msimu huu. Ukimya wenu hatujauzoea kabisa. ๐
RASMI : Yanga imeingia kwenye rekodi ya kuuza mchezaji kwa gharama kubwa katika historia ya mpira Tanzania. Predator Fiston Kalala Mayele ameuzwa kwa dau la $1.2m. Kila la kheir mtu wa mpira, unaondoka vizuri, Jangwani ni nyumbani, karibu tena panapo majaaliwa. ๐๐ป
Pale timu ya Taifa mpaka kocha Micho huwa anamuogopa mwamba, mara ya mwisho Gift ndio aliyepanga kikosi vs Taifa Stars. Kuna hatihati Djigui Diarra akamaliza msimu na clean sheets 25 msimu ujao.
I want to congratulate Patience Rwabwogo for writing a book that links the Bible to NRMโs principles of Patriotism & Pan- Africanism. This has made this book a masterpiece.
She is correct in saying that we sold our birthright as Africans by being greedy and selling our brothers into slavery.
Patience is trying to say that if we do not protect our birthright, the enemy will come and steal it. We must protect it.
I also thank Patience for introducing our family to the line of Christian leadership being the 1st priest in the family. She has showed us that you can be a cattle keeper and also a priest.
I congratulate her!