THE LATE BENJAMIN WILLIAM MKAPA, FORMER PRESIDENT AND COMMANDER-IN-CHIEF OF THE ARMED FORCES OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
"I must stress that our development partners should respect our sovereignty."
Kraken's Ink Blockchain launches ahead of schedule! 🌟 Experience faster, cheaper, and more scalable transactions with this game-changing Layer-2 solution. ⚙️#Blockchain#Ethereum#Kraken#DeFi#Crypto
https://t.co/MFp0xxuWLF
3.Washa sehemu ya microphone Kwenye hiyo app
Baada ya kuwasha bluetooth na kuiconnect na ile redio yako.
-Ingia kwenye app Kuna sehemu imeandikwa mic
-Bonyeza itakupeleka sehemu Kuna button 3 hizi za kupunguza kelele za mazingira
-ziwashe zote
Angalia pichani
2.Washa Bluetooth ya simu yako
Ukisha washa nenda kwenye app
Sehemu wameandika Bluetooth manager
-Ibonyeze itakuletea option ya kuscan
Kiredio ulichonacho utakiona hapa
Angalia picha hizi
Kuna mahali unaweza ukawa na event na huna maiki .
Fanya hivi kama Kuna redio inayosuport Bluetooth..
Thread 🧵
Repost 🔄
Bookmark 🔖
Follow @techygaspar
Shuka nayo 👇🏾
Tweet ya heshima kwa Haji Mnoga, kijana amepambana sana aisee. Sasa tunakiona kizazi kipya cha Taifa Stars Chenye Kiu ya Mafanikio. Kesho yetu ni bora sana.