Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Ndugu. Christina Mndeme ameshiriki kikao Mtandao kati ya China na Vyama vya Siasa mbalimbali kutoka nchi za afrika (The 4th China -Africa Political Parties Theorietical Seminar).
Leo Tarehe 24 Sept 2021, CCM makao Makuu Dodoma.
#CCMApp