Nimeguswa sana kusikia watu 20 wamepoteza maisha wakiwa kwenye ibada Moshi, na 20 wengine kwenye mafuriko Lindi. Tumwombe Mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi na azilinde familia zao.
RIP Ndugu Zetu🙏🏽
Bwana ametoa bwana ametwaa.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un.
@MmasaMmasa1 @earadiofm@Samagoal77_ Sanamu Brazil ni moja Tu, na hakuna anaeifikia iyo record. Tz wengine watafuata lkn Samatta amefika sehemu ambayo haijawai kufikiwa toka Uhuru. #pelebrazil#samatta
Tanzania’s very own Mbwana Samatta joins Aston Villa! The first SIMBA player to make it to the English Premier League 🙌🏽 Good job champ! You make us all proud! #KaribuSamatta 🇹🇿
Ukimuangalia @SalimKikeke1 unaona mambo yamekwisha, ukienda kwenye Ukurasa wa @KRCGenkofficial na ule wa @AVFCOfficial hakuna kitu zaidi ya kurusha habari zao na mechi za kesho.@Samagoal77_ tueleze mwana.nini kinaendelea maana Champagne imeanza kupoa!
Timu zote 7 za Uhispania zimefuzu hatua ya mtoano ya Klabu bingwa & Europa
🇪🇸 Barcelona
🇪🇸 Real Madrid
🇪🇸 Atletico Madrid
🇪🇸 Valencia
🇪🇸 Sevilla
🇪🇸 Getafe
🇪🇸 Espanyol
Unadhani ndio ligi bora kwasasa Ulaya?
@PatrickAussems U will remain the best coach for me in the Tanzanian football history u did what others coaches failed to do for all most 20 years though am a dar young African fc fun but I appreciate you and I hope one day you will get back in Tanzania for the same job
Popote ninapoenda mimi ni Mnyama, kama sio jezi basi hata kifaa changu kama hapa kinakuwa na alama ya 🦁
📸 Leo nilipokuwa kwenye mafunzo ya gofu na watoto wangu.
(Bado nasubiri tag ya mashabiki leo kwa Burna Boy na jezi ya SIMBA 😂 Kazi na dawa lakini kwa umakini 😊)
Speechless. Members of the public with nothing but a narwhal tusk and a fire extinguisher tackle a murderous terrorist.
Heroism, pure and simple.
https://t.co/QAlVkFiexs