Duuuuhhhh huyu Mzee ni nomaaa, yupo flexible kama Bruce Lee
Nimejaribu kujikunja kama hivi Mara 54 nimeshindwa
Ndiyo maana Wachezaji kama Chama au Sakho wa nakuwaga na Uwezo wa Kujikunja na Kufunga
Hii Simba ukisogea Unakula 10
Rasmi tunamtangaza Sbai Karim kuwa Kocha wa Viungo pamoja na Kocha Msaidizi.
Tutakuwa na makocha wasaidizi wawili, Seleman Matola na Sbai Karim.
Karibu kocha Karim. #NguvuMoja
Mwamba amefika na ana furaha kubwa kuwepo hapa π
Saa 7:00 mchana kupitia Simba App tutaletea furaha kwa Wanasimba na kuwafunga midomo wapinzani. #NguvuMoja
Huyu mwamba ni kiumbe kingine aise... kibongobongo Sadala bado anakazi ngumu kuwafunika hawa wapopo... ushahidi sikiliza Ep ya sadala... chukua Albam ya huyu mwamba... unyama uliopo ndaniyake ninoma...
Leo ni kumbukizi ya kuzaliwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango (65).
Dkt. Mpango ambaye ni mtaalamu wa uchumi alizaliwa Julai 14, 1957 mkoani Kigoma.