Mama Dullah leo kaniagiza vitafunwa vichache kuliko idadi tuliopo....
Nasubiri nione nani hajajumuishwa leo 😂
Patamu hapo,najua sio mimi maana, mimi ndio nimetumwa 😂
Nyuma ya tabasamu na kicheko cha mwanaume, kuna maumivu makali yaliyobeba idadi kubwa ya watu wenye kumtegemea ambao anatakiwa ahakikishe wote wanafurahia uwepo wake. Tusiache kuwaombea🙏😘
Nisaidie #kurepost mteja aone🙏
EBANA ZILE SETI ORIGINAL KWA AJILI YA ZAWAD YA MPENZI AU YA KAKWAKO MWENYE ZIPO✅
•Saa
•Bracelet
•Cheni
•Heren & pete
BEI: 55,000
Delivery ipo mkoani natuma haraka sna🚚
Nb: nichek 0717373534 uje uchague unazotaka zipo za kutoshaa🔥🔥🔥
Wanadamu wanasema yale ambayo wanataka usikie,,, lakini ukimsikia mwenyewe ukimfuatilia mwenyewe ukim, study utamuelewa kwa uharaka na uwepesi na uhakika,,,,
N.B usipende kusikiliza maneno ya Wanadamu...!!!
Good Morning 🌅 🌄 🇹🇿
NAOMBA REPOST YAKO 🙏
VIFAA VYA MAGARI (USED SPARE PARTS FROM JAPAN AND DUBAI).
Tunapatikana Kariakoo Mtaa Wa Lindi, karibu na Kituo cha Mwendokasi Gerezani.
Vifaa kama;
Gear Box, Taa, STERLING RACK CONTROL.
👉WhatsApp https://t.co/aMMWFIFBSm
TOYOTA, NISANI, SUBARU, MITSUBISHI