Siku moja aliacha hadithi na kuongea na mimi kuhusu maisha halisi.
Sikujua kama Babu alikuwa na machungu moyoni mwake.
Sikujua kama Babu alitumia hadithi kama fundisho kwa wajukuu zake kuhusu maisha yao ya baadae.
Hadithi hiyo imekaa akilini; na kila siku ninaiona hadithi hiyo.
#MANOAH
Wakati nilipokuwa mdogo, nilizoea kusikiliza #hadithi za Babu.
Marehemu Babu yangu alikuwa na hadithi nyingi, na kila siku alikuwa na hadithi mpya.
Alikuwa na hadithi za huzuni na pia za furaha.
Alihadithia kuhusu ujasiri, mapenzi na kadhalika.....