Upate pisi fulan hivi Kali inajielewa haina shida ndogo ndogo wala drama, Haitaki utoto, Ina akili, Ukikosea mnaongea kiutu uzima mnayamaliza, inakushauri Njia ya kusaka Pesa na mna invest pamoja
MUNGU AKUPE NINI SASA MZEE
🚨🗣️ Elon Musk: "If I were ever to buy a football club, Liverpool would be at the top of my list. It's more than a club—it's a global brand with an unmatched fanbase, incredible history, and a winning mentality. That's the kind of culture I admire." 🔴
Sirudi nyuma wala chini, naenda MBELE na juu
I'm jumping high, roho Safi sanctified
Nilikua mteja WA ZAMBI na Ile junking life
Back Kwa focus nawaletea something NICE
Ain't no need to be asking twice
PAST YANGU ILIKUA CHAFU /
https://t.co/bOODIfUhDu
Kwenye kununua Soundbars, kama una budget nzuri nunua soundbar yenye feature ya ARC inayosupport HDMI CABLE, ambapo unaunganisha Moja kwa Moja kutoka kwenye TV
Faida yake ni Nini? Unapata mziki mkubwa zaidi kuliko kutumia Bluetooth, kwa Aiwa nadhani kuanzia 500W kwenda juu Ina hiyo feature.
Mfano kama hii hapa ni Aiwa Model MX900T maximum watts mpaka 800, Noma sana hii
Utasumbua sana majirani 😁😁
Either Mac Allister will retain the World Cup or Munoz will be a World Cup champion.
One of them will be coming back to Liverpool with a winners medal.