Tujitose ugani Amex tuone bingwa mara sifuri wa kombe la klabu bora barani Ulaya ametuandaliani.Naarifiwa msimu huu anapania kwenda "unbeaten" kwa hiyo hana budi ila kuendeleza rekodi ya ushindi ya asilimia mia fil mia dhidi ya Brighton. Tano mtungi ndio ubashiri wangu.