π΅ Higher expectations
π΅ Tiredness, hunger or illness
π΅ Masking some challenges
π΅ Relationship challenges
π΅ Trauma
At Rehab Access Therapy Clinic we are keen to support your child to address the challenging behaviours.
No child or person sets out to have problematic or purposeful, challenging behaviors to make other people's lives difficult. There are many reasons that can contribute to these behaviors including:
π΅ Accumulation of emotions
π΅ Tasks that require higher intelligence
Utambuzi na matibabu ya mapema ni njia bora kabisa ya kufanikisha ustawi na ubora wa maisha. Chukua hatua sasa kukutana na wataalam wetu hapa RehabAccess Therapy Clinic, mapema ndio best!
#RehabWorks#Spechie#SpeechTherapy#RATC#mapemandiobest
Kuna uwezekano mkubwa akawa na Changamoto ya
kupata mrejesho sahihi wa taarifa kwenye misuli na maungio kupitia hisia zilizochakatwa na ubongo (poor proprioceptive processing).
Je Mwanao anatumia nguvu nyingi/msukumo (force) mkubwa sana kwenye kufanya vitu vinavyohitaji kutumia nguvu/msukumo kidogo? Mfano kufunga milango kwa nguvu (Anabamiza Milango), Je anajigonga kwenye vitu na kuanguka mara kwa mara au kufunja kalamu mara kwa mara wakati akiandika?
Changamoto hizo zinaweza kupelekea udhaifu katika misuli ya vidole hususani kidole gumba pia udhaifu katika kuchakata mguso katika vidole, na hivyo kupelekea ushikwaji wa kalamu usio sahihi.
Ikiwa mwanao anaonesha dalili au anashika kalamu isivyopaswa, tafuta msaada wa wataalam.
Changamoto ya ushikwaji wa kalamu usio sahihi unaweza kuchochewa na mambo mengi baadhi ni;
- Changamoto za Kuchakata hisia kupitia misuli na maungio (poor proprioceptive processing)
- Changamoto ya kuchakata hisia za mguso (poor tactile processing).
- Uzaifu wa misuli kwa ujumla.
JE UNAUHAKIKA NA NINI MWANAO ANAANGALIA?
Kuna uwezekano mkubwa sana kama mzazi/mlezi ukapitwa na nini mwanao anaangalia kwenye vifaa vya mawasiliano. Muda mwingi kwenye screen unaweza kumpelekea mtoto akakutana na yafuatayo.
Una habari kuwa Mtoto anapotumia muda mwingi kwenye simu, tablet au TV, maeneo mbalimbali ya ubongo wake yanaathirika kwa kiasi kikubwa kama vile mtoto aliyepata shambulio la ugonjwa kwenye mfumo wa fahamu.