Happy Women's day to all the good Women out there.
Wanawake mkisimama kwenye nafasi zenu, Familia, Jamii na Taifa uimarika.
Uwezo wenu wa kulea, kutunza, kufariji, kuboresha,kuhamasisha, Kuinua ni Top Notch 🙌🏼.
Ninyi ni nguzo,msingi, na moyo wa jamii.
Tunawapenda ❤️🙏🏼
Ndoto za mchana hizo!..
Mtu aliyeasisi vikosi vya wasiojulikana aliwa waziri wa mambo ya ndani hawezi kiwa hizo........
Mtu mwenye masakata lukuki ya mikanganyuko ya hela zeru za mikopo ya kujenga SGR hawezi kuwa hizo ......
Mtu anayehonga hela awe PM na kusema kamshika Rais na watu wake na kuwa anajua mambo yao hawezi kuwa PM
Na akiwa tutajua kweli kuna mambo anajua na anateuliwa kuyalinda hayo mambo!
Na hapo sasa ndipo vumbi litatimka haswa !!