@SuluhuSamia Mama shikamo naomba uniwezeshe niweze kupata Million 1.5 niweze kuongezea hii nilionanyo niweze kupata eneo la ujenzi nimepelewa na hiyo mama
@Psiteshio1@mtia_moyo Kaka pc yangu inashida ya kuconnect Bluetooth yaani inakonnect unapoiwasha ukidisconnet ukikonnect tena inakataa naomba usaidiz wako