Jirani na ndugu zetu wa Msumbiji wanapita katika wakati mgumu wa maafa ya watu wanaokadiriwa kuzidi 1,000 kutokana na kimbunga. Tunasimama katika mshikamano na ndugu zetu. Mungu azilaze roho za marehemu peponi na awape faraja na nafuu wote walioathirika na janga hili.
Mungu atusaidie sana. Hapa ndipo ninapoona sababu za mfalme suleiman kuomba hekima kwa Mungu, aliona vitu vingine vyote havina https://t.co/cUJe6yPDYu vyema viongozi wetu watumia hekima zaidi kuliko mabavu.
@ChangeTanzania Tasisi za maamuzi zifanye kazi. Mungu ni mwema siku zote. Meya huyu amewakikisha mambo maovu yanayotokea Tanzania na hususasi kwa walimu wa kike wanyonge@magufuli