Kama Unapitia Magumu,
Amini Mungu Yupo Na Atayafanya Mepesi🤲
Mungu Akabariki Hussle Zako,
Na Akulinde Dhidi Ya Maadui!!🙏
Jumapili Njema Watu Wa Mungu✝️
#Haleluya Is Out Now
LINK ON MY BIO
Leo nimemkumbuka huyu binti Betty Ndenjembi @BettyNdejembi huyu binti aliwahi tweet "Pinda hawezi kuwa Rais" baadae akakutwa amebakwa na kulatiwa kisha kutupwa mtaroni, mtandao wa twitter ulitumika sana kumzalilisha kabla hajapatwa na umauti ilikua 2014
Huyu ni Baba aliuwawa na vikosi vya Idd Amin Mama Oktoba 29, 2025
Leo Watoto wake ni wakiwa kwasababu Idd Amin Mama alikatisha uhai wa Baba yao.😭
Mke wake kabaki mjane kwasababu Idd Amin Mama alikatisha uhai wa mme wake.😭
Halafu leo anajifanya ana upendo, upendo wa nyoko. 🚮
Unadhan Wazazi na familia za hawa Vijana wa Mji Mwema- Mwanza wanaumia kiasi gani kwa ndugu zao kuuwawa kikatili halafu wanamskia Nduli Idd Amin Mama akisema
“Nguvu iliyotumika Oktoba 29, iliendana na tukio…”
Hawa walikuwa zao kwenye kibandaumiza wanaangalia mpira, Vikosi vya Idd Amin Mama vikawavamia na kuwaamuru watoke njee na kulala chini kifudi fudi kisha wakaanza kuwamiminia risasi na kuwauwa wote bila hata chembe ya huruma.
TAARIFA KWA WAPENDA HAKI WOTE!
Maswali yote mnayouliza, jibu lake ni kwamba hatujakata tamaa wala hatujasaliti harakati za ukombozi.
Tunaheshimu na kuthamini mfungo wa Kwaresima na Ramadhani.
Baada ya tarehe 5 Aprili 2025, tutatangaza mikakati mipya.
Sisiyemu must go, guys🚶
Hivi ujue sioni mnatiki ya kuzuia mtu aliejifungua kurudi shule, ni zuzu tuu anaweza kataa mtoto asirudi shule.
Kwamba kua na mtoto kinahusiana vipi na mtu kusoma?
Unakuta mtu yupo mjini kabisaa ila anawaza kama yupo Sengerema ndaniiii ndaniiii.
WASOMAJI TUPO PAMOJA??? MNAFUATILIA WATANZANIA WENZENU WANAYOKUTANA NAYO KUTOKA KWA SERIKALI YENU YA CCM?? ANAFANYWA HIVI KOMANDOO, UNADHANI KULE KWENYE HIFADHI ZA TAIFA WATU WA KAWAIDA WAMEFANYWAJE?? WAVUVI WANGAPI WAMEZAMISHWA??
TUENDELEE!!!!
Kwa mujibu wa takwimu za CAG, jamaa alikaa India kwa takriban miezi 5, akiwa na wasaidizi wake na familia yake. Posho ya mbunge anapokuwa nje ya nchi kwa siku 1 ni US$500; mtumishi wa bunge ni US$450; mwenzi wa ndoa ni US$300. Ni vile sisi ni mazuzu, huyu mtu hafai kuwa alipo!
Adam Hassan Kasekwa “Adamoo” .. huwezi kuamini ana morali hii licha ya kunyimwa uhuru wake tangu August 2020.. karibu siku 500 sasa yupo gerezani.. ana morali ya kutosha. Kizazi cha watu hawa kimepotea sana….
"Jenerali ulimwengu ni mmoja wa watu wachache sana kwenye nchi yetu walio baki kupigania haki na wako kwenye mfumo" Julius Nyerere Mwaka 1997 akimtetea Ulimwengu Kamati ya Maadili