Fikiria ni kiasi gani ilivyo ngumu kubadilisha tabia yako; sasa fikiria ilivyo ngumu kumbadilisha mtu mwingine tabia yake
Mimi nikionaga watu wanatoa toa ushauri ONLINE kuhusu tabia za watu wengine, hua nawaona kama mazambrotta. Low voltage IQ.
kuachana ni sawa
kupoteza marafiki ni sawa
kuanza upya ni sawa
kuuguza majeraha ni sawa
kusema hapana ni sawa
kuwa peke yako ni sawa
kitu ambacho si sawa ni kuendelea kubaki mahali ambapo huna furaha, huthamimiwi, hupendwi, au hupewi heshima yako. Kuwa zoma SI SAWA
Video hii imesambaa sana mtandaoni.
Ndani ya video hii watu wamemshangaa SAID LUGUMI akiliita "Uchafu" moja ya gari linalogharimu mamia ya mamilioni ya fedha.
Watu wanaweza wakawa wanajiuliza hivi huyu jamaa ana pesa kiasi gani hadi kufanya kufuru hii?
Uzi👇
I love people that make others feel seen, heard, respected, valued, and loved. People with beautiful hearts, open minds, and kind souls. The rare gems who make you feel deeply understood, give you absolute freedom to be yourself, and make you feel beautiful just for being you.
Manipulation is when you apologize, change your behavior, and they accept the apology and forgive you, but then continue to throw it in your face. True forgiveness means moving forward without weaponizing the past. Healthy relationships grow from accountability, not guilt-trips.
Nadhani tulipofikia tusiangalie nani alikuwa nani aliwahi kusema nini bali tusimame na walioamua kuipambania haki kulingana na kipindi tulichopo hata kama uko nyuma waliwahi kuwa katika upande sio sahihi, kuteleza kupo.
Mwaka 2015 ikiwa imebaki miezi michache kabla ya mkutano mkuu wa CCM kuchagua mgombea wa kukinadi chama chao kama mgombea urais, huko Lushoto mkoani Tanga kulikuwa na mkutano mzito.
Mkutano huu ulifanyikia nyumbani kwa hayati rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa
Unaskia bro
Ukitoboa; jipongeze, jithamini, jipende, na shangilia ushindi wako.
-Hakuna mtu anayejua maumivu na msoto uliopitia
-Hakuna mtu anayejua gharama uliyotumia kufika hapo
-Hakuna mtu anayefahamu vita ulizopigana kuwa wewe
Ni wewe pekee unayefahamu safari yako. ENJOY
Fiction Story na Mafia.
Nilipokuwa na miaka 14, mama yangu alipigiwa simu na shule kwamba aje kunichukua kwa sababu nilikuwa mjamzito.
Nilikuwepo pale wakati Mwalimu Mkuu alipompigia.
Kitu pekee mama yangu alichosema ni, “Sawa.” Hakuliza maswali. Hakupaza sauti.
Thread:👇