🚨 𝐄𝐗𝐂𝐋:
Congolese striker Ramos Kashala Wanet has joined Jwaya SC on a two-year contract after leaving FC Saint-Éloi Lupopo. ✍️
The striker has signed until 2028 as Jwaya SC strengthen their attacking options ahead of the new season.
#Transfers#AfricanFootball
Uku primary tunateseka sana, sasa apa mpishi hakukuja kupika ju kuna walimu hawajalipa pesa yake, tuko njaa tukiwa wote na soko haiko karibu. Ata hakuna mtu ameenda class kufunza ju ya njaa.
🚨 KIUNGO wa Simba, Ladaki Chasambi huenda akaitumikia Mashujaa au Pamba Jiji kwa mkopo msimu ujao ikiwa ni sehemu ya mpango wa kumpa nafasi ya kucheza mara kwa mara baada ya kushindwa kupata namba kikosini hapo.
Chasambi alijiunga na Simba akitokea Mtibwa mkataba unaotarajiwa kumalizika Desemba 2026. Taarifa zinaeleza uongozi wa mchezaji huyo ulianza kutazama uwezekano wa kumrejesha Mtibwa, lakini baada ya klabu hiyo kushuka daraja, sasa unaelekeza nguvu Mashujaa au Pamba.
Je, nikikuambia kuwa kitunguu saumu kinaweza kufanya kazi kama kichocheo cha hamu ya tendo la ndoa, kinaweza kusaidia uzazi kwa kufanya mbegu za kiume kuwa na afya na kuongezeka, kinaongeza mzunguko wa damu mwilini, kinapunguza msongo wa mawazo ili mtu aweze kushiriki mara nyingi zaidi,
Na je, nikikuambia kinaweza kumfanya mwanaume awe na nguvu nzuri za kiume?
Simba seem well organized tonight. 🇹🇿✨
Clean sheet is very important in away games especially when playing in Africa.
Fadlu Davids and his men have the chance to finish the job at home and progress to the group stage.
#TotalEnergiesCAFCC#CAFCCwithMicky#NguvuMoja 🦁