Wabongo hawakosi LAWAMA. Siku 4 nimelisha mitaa-saizi napewa lawama za “Tatizo hatuna MITAJI BRO”.
Yani tumetoka kuboom TRENI odds 83, tumeshinda odds 3,4,5,5 bado wajomba wanalalamika MITAJI.
Hii nchi IMEOZA kila kona.
@FKihamu Poleni sana kwa msiba huo mzito. Kama mwanahabari, umethibitisha ni Watanzania wangapi walipigwa risasi na kuuwawa na vikosi vya Serikali ya CCM, siku na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025? Au idadi kamili ya watu waliouwawa bado hujapata?
Wewe Msigwa unataka kucontrol CNN kama unavyocontrol leseni za online tv za Tanzania? Au unafikiri hilo ni gazeti unalotaka kufunga wakati wowote unaotaka?
Hao ulioenda kuhutubia hapo wamekuuliza mliua watu wangapi?
Je wamekuuliza kwanini hamjawapa Watanzania miili ya ndugu zao wakazike?
Wamekuuliza kwanini mlimpiga mama mia mzito risasi ya mgongoni?
Wamekuuliza kwanini majeruhi wamechukuliwa wakiwa wazima na kupelekwa Mortuary?
Unafikiri CNN, BBC, Al Jazeera wataachq kufanya kazi yao kwasababu wewe hupokei simu au haujibu msg?
Kwanini Leo haujawaalika CNN ili wapate nafasi ya kukuuliza maswali ujibu?
Wenye nia ovu ni nyie wauaji sio watu wanaoanika uovu wenu.
Ukatili wenu huu hamtaweza kufunika, kwa lolote.
Watanzania wa sasa sio wajinga.