MopaLee ni Arusha Finest wa sasa Chalii anapendwa mitaani balaa mpaka watoto wadogo wanachana ngoma zake kwere, mainstream media zimpe airtime chalii aende duniani kirasta, apige na collabo za kijomba walete
sisi tunavyofanya sasa hivi ni kununua rudio , peleka sample maabara kama linasoma vizuri tunazama plant VAT leaching unapata mzigo wa kueleweka mchawi mtaji na mkemia wa kueleweka