Hii ni picha ambayo Waarabu hawataisahau daima. Hili ni tukio la mwaka 2019 ambapo Papa Francis aliweka historia ya kuwa kiongozi wa Kwanza wa Kanisa Katoliki duniani kuitembelea nchi ya Umoja wa Falme za Kiarabu. Kesho nitaelezea zaidi ziara hii.
Mistari maarufu Ktk Biblia
Niambie Upi Unakubariki Zaidi.!
1. Gal 6:9
2. Yn 1:1
3. Flp 4:6
4. Mt 1:1
5. Zab 23:4
6. Mit 3:5
7. Rum 12:2
8. 1 Kor 6:12
9. Yer 29:11
10. Mt 6:33
11. Gal 5:22
12. Isa 41:10
13. Mt 11:28
14. 1 Kor 10:13
14. 1 Kor 10:13
15. Isa 53:5
16. Rum 8:28
Leo Nataka Nikujuze Labda Usiyoyafahamu Kuhusu Biblia Takatifu.
Shuka Na UZI Huu 👇
Biblia Takatifu ina vitabu 66,
Agano la kale lina vitabu 39,
Agano jipya lina vitabu 27.
Usifanye Kila Jambo Kwaajili ya Pesa. Mahusiano Mazuri, Afya, Amani ya Moyo na Furaha ni Vitu Ambavyo Haviwezi Kununuliwa. Tafuta Pesa kwa Uhalali na Usiache Utu Wako Kwaajili ya Pesa.
Marafiki Ambao Hawawezi kukusaidia Wakati Unashida Bado
Ni Marafiki Zako. They're not Fake, Nao Pia Wanapitia Mengi. Huna Haki Ya Kumkasilikia Mtu Ambae Ameshindwa Kufanya Kile Ambacho Kimekushinda Kufanya.