Wakazi wa Moshi / Kilimanjaro Team ya @planetconnect_tz itakuwa hapo kuanzia tar 14-19-October kukusaidia wewe unayehitaji kutimiza ndoto yako ya kuishi Marekani kupitia Greencard lottery.
Wasiliana nasi Whatsapp 0741109109.
Mkazi wa Dar es Salaam chukua nafasi hii kutimiza ndoto yako ya kuishi Marekani.
Gharama ni shilingi 20000 tu.
Ofisi zetu kwa wale wa Dar es salaam tupo sinza Afrika sana
Wasiliana nasi Whatsapp 0741109109.
GREEN CARD ni kadi inayompa mtu haki ya kuishi na kufanya kazi Marekani kama mkazi wa kudumu. Njia moja ya kuipata ni kupitia BAHATI NASIBU (Diversity Visa Lottery), ambapo watu kutoka nchi zinazostahili
wanaweza kushinda nafasi ya kuishi Marekani.
Usimu MPYA wa Green Card Lottery UMEWADIA!
Wakati umefika kwa wewe Mtanzania unayetamani kuishi MAREKANI kutimiza Ndoto yako kupitia Green Card lottery fursa PEKEE ambayo hutokea mara moja kila mwaka kuanzia Mwezi wa Kumi hadi wa Kumi na Moja.
@planetConnect_
#MAMAMIA: “Mapenzi ndiyo kitu pekee Duniani kinachokula kila kitu, wewe alikuambia nani eti ufukara ndiyo wakuwagombanisha kwenye mapenzi” - @mcritha_chuwalo
Unaweza kuachana na mpenzi wako kisa ufukara?
#MamaMia#LakoHilo#HainaKuchoka#EastAfricaRadio
Jamani Kazi ni Utu tuwahurumie wanaotutumikia
Niko hapo na Bi Regina Jackson Miaka 58 , kwa niaba ya wenzake anatamani angalau Ndoo ya lita 20 iuzwe kwa Tshs.450 badala ya Tshs.350 /=
#mamamiaearadio88.1Dar
Hawa Mama zetu Ndoo moja ya maji ile kubwa ya Lita 20 wanauza kwa tajiri kama wanavyowaita wao kwa Tshs.350 /= na kwa siku analazimika ajaze Ndoo Kumi ili kupata 3500/= jamani jamani 😭😭😭😭😭😭
Huyo pichani ni Bi. Salma