Wakiambia sawa tufanye maridhiano lakini lazima Tundu Lissu awepo
Wanaanza kulia na kilalamika
mbona kuna hofu hivyo kuongea na Lissu ? Kama kweli mna nia njema hofu dhidi ya Lissu inatoka wapi ?
#MaridhianoFake#TanzaniaIsNotSafe
Join us outside the @IntlCrimCourt in The Hague on Friday, 11 December 2026, at 11:00 local time for a peaceful demonstration.
Together, we call for an investigation into Tanzania’s October 2025 violence, an end to abductions, and the release of Tundu Lissu. 🇹🇿
#TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
Nimepita barabara kutoka Ubungo to Kibaha.
Maeneo ambayo juzi watu walibomolewa nyumba na serikali ya ccm kwamba ni hifadhi ya Barabara.
Watu wengi walipoteza maisha, wengi walipata magonjwa makubwa na kupoteza kila kitu walichopigania maisha yao yote.
Miaka mitatu baadae haya haya maeneo viongozi wa serikali ya ccm na majambazi wenzao wamejigawia wanajenga vituo vya mafuta kushoto na kulia!!!
Nyie Watanzania mpo mnaona uonevu mnasema Mungu atasimamia.
Cartels wamepoka nchi yetu, kila mtu ataumizwa kwa njia zake.
Lazima tukatae, maana leo watachukua nyumba yako waseme ni barabara Kesho utakuta anaishi mtoto wa Waziri hapo.
Mjiulize kama @X (Twitter) haina impact kwa nini @samia_suluhu_hassan analipiwa 1,000$ kwa mwezi kuwa verified kwa grey checkmark na kila siku bize ana post?
Narudia mtandao wenye nguvu kwa waleta maamuzi DUNIANI ni X
Huku lazima kila mtanzania apambane kuingia na ku post kama tuko serious na ukombozi
#TutaelewanaTu
🚨🇮🇷 ÚLTIMA HORA: Una joven iraní de 14 años, recién casada, fue golpeada hasta la muerte por su marido pocos días después de dar a luz, tras expresar su deseo de visitar a su familia.
ONU Mujeres no ha dicho ni una sola palabra.
Leonard Egesa, David Musiri, Prosper Ahabwe and Uwesa Buruhani. All these Ugandans were abducted 2 weeks ago and upto date, their whereabouts are unknown.
#StopAbductionsUg
Why does this government have to put us through this anguish of not knowing where our people are, whether they have killed then or not, what state they are in, etc, yet they control the police, the courts and the prisons and they can still keep people in gazetted prisons for as long as they want. Do you know how a government must hate and disregard its citizens for it to push them to these levels!! Now we are no longer even asking them to free the people they are keeping in prisons arbitrarily, we are begging them to not disappear them and torture them!! #FreePraiseAloikin
#BringBackOurPeople
Kuna wakati kuna wadau walituambia Mhuni asusiwi
na wakasema wao ndio wenye nguvu kutikisa nchi
lakini mimi issue yangu ni mhuni asusiwi, hiyo program iliendaje mwaka jana october, walipambana na mhuni?
Of course, kwa mabilioni anayolipwa “mheshimiwa Mbunge,” atashindwaje kuflex utajiri wake?
Mwaka jana tu “mheshimiwa” @esteramosbulaya amelipwa karibu shilingi billion moja za kitanzania kama malipo halali ya ubunge wake, posho na kiinua mgongo.
Hii ni karibu 50% ya mapato yote ya ndani ya Halmashauri Wilaya ya Bunda, ambayo mwaka jana ilijipangia kukusanya billioni 2.5.
Kidumu chama.
Hivi kiumbe kama huyu anaweza kuwa anatumia ubongo wa kitu gani kichwani kwake? Akiwa Msemaji Mkuu wa Serikali yao alijitokeza hadharani akapayuka mate yanamwagika kwamba mtandao wa 𝕏 umefungiwa Tanzania kwa kuwa umeruhusu kuchapisha maudhui ya ngono.., na akaendelea kuutumia mtandao wa 𝕏 kutoa taarifa rasmi za Serikali yao kwa umma. Hata baada ya kufurushwa na kutupwa kuwa Katibu Mkuu wizara ya akina PIPITIDA na ANKO T na SOFI AMELOWA amerudi kutumia mtandao wa 𝕏 kutuaga, amewasha VPN (ambayo walisema ni kosa la jinai kutumia) ili kuandika gazeti kushukuru kwa kufurushwa. Hawa watu wamechanganyikiwa.