JD Vance: “Trump is the only head of state in the world who is sympathetic to the nation of Israel at this moment.”
WTF is going on with this guy? Why the hell is he attacking Israel for?
Masks off.
#HABARI Mashambulizi ya droni kutoka Ukraine yameripotiwa kulenga kiwanda cha kusafisha mafuta kilichopo katika Mji wa Kapotnya, Kusini Mashariki mwa Jiji la Moscow nchini Urusi.
Tukio hilo ni sehemu ya mashambulizi yanayoendelea kati ya pande hizo mbili katika vita vinavyoendelea.
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema mifumo yake ya ulinzi wa anga ilifanikiwa kudungua droni 555 za Ukraine katika maeneo mbalimbali ya nchi hiyo usiku kucha.
Mamlaka za Urusi zimeeleza kuwa hatua hiyo ilisaidia kupunguza madhara yaliyoweza kutokea kutokana na mashambulizi hayo.
Hii ni mara ya pili ndani ya wiki moja kwa Ukraine kufanya shambulizi kubwa la aina hiyo dhidi ya maeneo ya Urusi.
Mashambulizi hayo yanaashiria kuongezeka kwa mvutano wa kijeshi huku kila upande ukiendelea kuimarisha operesheni zake za vita.
#EastAfricaTV
🚨🗣Andunje sio kwamba spendi kuongea ila sijui kiingereza nitaongea nini na ndio maana mnaniona niko kmy tu ila ukiongea kwa lugha yangu tutaongea na hii inanisaidia siwezi kujua watu wakinisema vibaya mtandaoni kiingereza nimeshendwa kukielewa kabisa sema sio lugha yangu