"Ni takribani week 2 sasa tangu nimpoteza mwanangu miaka 12 tu .
Alipigwa risasi siku ya uchaguzi tarehe 29 .. Nakumbuka siku hio tulikua ndani tukasikia milio ya risasi watu wakitawanywa wasiandamane basi ..Kwa bahati mbaya mtoto wangu alienda dirishani kuchungulia na yeye Alipigwa risasi hapo hapo.
Nilimkimbiza hospital lakini siku ya pili alipoteza maisha kamwe siwezi kusahau Polisi kitu walichomtendea mwanangu hakua na hatia alikua ndani.😭
Pamoja na yote namuombea aendelee kupumzika Kwa amani 💔 Rip mwanangu Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un"-; Baba wa Kijana
Watanzania tusimwangushe huyu baba………..
Angalau akitoka ndani akute tumepiga hatua kubwa kwenye maendeleo.
KUCHANGIA TUMA PESA:
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
WATANZANIA WAMEAMUA MILLION 95 SASA.
Tumebakiza TSh. Milioni 5 pekee kufikisha TSh. Milioni 100!
"Tunaomba kila mmoja ajali, na siyo mara moja unaacha, kila unapofikiria mabadiliko na utawala bora fikiria kwamba Chadema haiwezi kwenda mbele bila fedha zako" Mhe. Godbless Lema
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
CHALLENGE YA SATIVA IMEPATA MWITIKIO MKUBWA.✌️
Challenge ya Sativa ya kuahidi kuchangia TSh. Milioni 2 kwa ajili ya Baraza Kuu la Umma endapo michango itafikia TSh. Milioni 100, imepokelewa kwa shangwe na mwitikio mkubwa kutoka kwa Watanzania.
Kinachovutia zaidi ni kwamba, ndani ya saa 18 tu tangu atangaze challenge hiyo jana usiku, Watanzania wamechangia TSh. Milioni 10, na kufanya jumla ya michango kufikia TSh. Milioni 60.
CHANGIA SASA
M-Pesa
Namba: 0744446969
Jina: CHADEMA HQ
NMB Bank
Namba ya Akaunti: 22606600140
Jina la Akaunti: Chama cha Demokrasia na Maendeleo
@SuluhuSamia Mhe Rais naendelea kushauri kwa dhati Tundu Lissu aachiwe huru kwani kesi haikamiliki. Hekima na busara iliyokufanya kutangaza sera ya 4Rs mara ulipoingia madarakani ikuongoze tena katika jambo hili. Simulizi hizi za kutisha za vyombo vya habari vya kimataifa, zinaibua hisia kali hasa kwa vijana, hata wazee tumekumbushwa kadhia ya operation Sogeza iliyounda vijiji vya ujamaa 1974 -1976. Taarifa hizi zinaathiri kikubwa taswira ya taifa letu na maslahi yake. Athari ni kubwa. Tutafute muafaka kupitia uwajibikaji na maridhiano. Tuwe na hofu ya Mungu na kutambua miujiza yake mfano wa risasi 16 kushindwa kukomesha uhai ingawa maumivu ni makubwa. Tutubu na kusali kuliombea taifa letu kila mtu kwa imani yake.
Good Job Watanzania, wow wow wow.
Hongereni Watanzania maana zamani hata kuwazomea hivi CCM tulikuwa tunaogopa ila sasa hivi hatuwaogopi tena hawa wauwaji na machawa wao.
Watanzania, video kama hizi zinatutia moyo wanaharakati wenu tuendelee kupambana kwa niaba yenu. Yani mimi personally nimeangalia video hii nikajiambia, it’s worth it kupigania nchi yangu, Acha ma cartel waje kuniua ila napigania watu ambao wako tayari kujipigania…..,
Mmejua kunipa raha mchana huu.
@tedcruz@SenatorShaheen@Europarl_EN This is the reality in Tanzania: the people have rejected Samia Suluhu and her regime. The moment her government was mentioned, the crowd erupted in boos. The minister wasn’t even given the chance to finish his sentence.
The only reason CCM remains in power is through killings, fear and force. Tanzanians are being held hostage at gunpoint, not governed with the consent of the people.
Habari niliyopewa usiku huu ni nzito sana.
Watanzania naomba mnisikilize, Heche is a DEAD MAN WALKING….
Huu mpango wa kumuondoa kama kiongozi wa Chadema kupitia kumchafua kuwa kaiba pesa za tone tone ukishindwa kumuondoa CCM watamuua ili waweze kuweka mtu ambae ataipeleka Chadema kwenye maridhiano na kimama.
Yani ni hivi, kimama anataka maridhiano na Chadema at any cost . Yani lazma yafanyike, wamemwaga pesa ndani ya Chadema kama zote ili Heche aondolewe Chadema waweze kuweka mtu wao. Unaambiwa kampeni ya kumchafua Heche ni kubwa na ndo kwanza imeanza, mnaambiwa mpaka kwenye kamati kuu ya chama wanamwaga hela ili aondolewe.
Sasa ikishindikana hiyo plan ya kumuondoa kwa kumchafua kimama yuko tayari kwenda kwenye plan B, to kill him…..
ile ticket and info alioposti Yericko sio Ai au edit it’s real. Kapewa na usalama wa taifa, although Heche hakusafiri. Ila hali ni mbaya kiasi hiko. Mombo anamstalk Heche kila anapoenda anasubiri go head ya kimama then amuue Heche.
Watanzania Heche na Lissu ndio watu wamwisho tulionao wenye msimamo mkali, tumlinde Heche kwa njia yoyote, yani hata ikibidi tupeane zamu kulala nje ya geti lake, au hata tuchange tulipie international security group waje kumlinda other wise HE IS DEAD…
I’m sorry ila acha niseme tu ila ni hivi, kama viongozi wengine wa Chadema wangekuwa na pumbu la mwenyekiti wao haki tungekuwa tumepiga hatua flani kwenye movement.
Lissu ni zaidi ya mwaka sasa anapitia mateso yasioelezeka na kagoma kuwauza Watanzania ili apate freedom. Ila hawa viongozi wenzake walio uraiani wanaogopa hata kuitwa polisi.
Wanaogopa hata kuitisha maandamano ya kumpigania Mwenyekiti wao atoke. Dunia nzima inachukua action ili Lissu atoke, dunia inapitisha miswada, inafutwa misaada ya TZ juu ya Lissu na human rights ila Chadema hawachukui action zaidi ya maneno kwenye masteji tena maneno ya uoga uoga, wanahakikisha sio maneno ya kuitwa central.
Tatizo uongozi mzima kasoro Lissu wako soft. They are too soft kuleta ukombozi. Chama kizima kinafanya siasa za uoga kasoro mwenyekiti wao.
Atakaechukia kwa statement zangu, chukia ikisha pasuka, tena ukiweza ni block kabisa, I don’t give a fuck!!!!’ Mimi sina chama na sipiganiii chama chochote, nachopigania ni Watanzania kupata HAKI na ACCOUNTABILITY then wao watachagua wenyewe chama chao na viongozi wao. So napoona the only people tunaowategemea kutupigania wanaonyesha uoga wa level hizi nakosa amani ya roho.
@TunduALissu Mungu akupiganie utoke, uje urudishe uanaume kwenye hiki chama. Maana sasa hivi ni kama chama kinaongozwa na wanawake maana sio kwa u-soft huu.
‼️HABARI MBAYA‼️
Familia ya Jafari Saidi Kahise inaomba msaada wa wananchi katika kumtafuta ndugu yao ambaye hajulikani alipo tangu tarehe 5 Juni 2026.
Kwa mujibu wa familia, Jafari alichukuliwa tarehe hiyo katika eneo la Mtaa wa Madukani, Kihonda, Morogoro, akiwa katika kituo chake cha kazi cha bodaboda. Inadaiwa kuwa alichukuliwa na watu wanne waliojitambulisha kuwa askari polisi waliokuwa wamevaa mavazi ya kiraia.
Tangu siku hiyo, familia haijapata taarifa zozote kuhusu mahali alipo wala hali yake. Juhudi za kumtafuta zimeendelea kufanyika kupitia mamlaka mbalimbali ikiwemo Jeshi la Polisi, ambalo familia imesema limekuwa likitoa ushirikiano katika kufuatilia suala hilo.
Mtu yeyote mwenye taarifa zinazoweza kusaidia kufahamu alipo Jafari Saidi Kahise au aliyemuona tangu tarehe 5 Juni 2026 anaombwa kuwasiliana kupitia namba zifuatazo:
0680340487
0654777333
0685574592
7/7 is approaching, Samia, Abdul and their murderous cabal are scared! The security forces and public servants will be given orders that will be impossible to defend morally, rationally on every level. Everyone will have to make the decision to defend their actions because saying “I was following orders”, “I just wanted to keep my job” - will not cut it! This time around all crimes against humanity will be monitored more closely, and if internarional intervention fails, these crimes will be adjudicated in special tribunals set up by citizens themselves! We refuse to be victims, we will fight back and hold everyone accountable! There is no hiding behind the so called government!
The World needs to warn this murderous regime! Allow the people to take back their power without shedding blood!
#SamiaMustGo #CCMmustgo
‼️TETESI‼️: Hii ya kesi ya Lissu kusogezwa inaweza kuwa kutupoteza ila inawezekana akaletwa mahakamani leo na kuachiwa kwa kufutiwa kesi au njia nyingine! Au akaachiwa na kupelekwa nyumbani! Tukae standby maeneo hayo!
Hawa watawala eti hawataki Lissu aonekane ameshinda na sisi wananchi kufurahi!
Muda wote tuwe macho kuanzia hapo Ukonga hadi mahakamani na nyumbani kwake! Tukae standby kumpokea shujaa wetu maana kumwachia LAZIMA!
#FreeTunduLissu
Mwenyekiti wa Kata wa CHADEMA kwa sasa akiitiisha mkutano wa hadhara. Mkutano unakuwa mkubwa kuliko Mkutano wa CCM unaokutanisha Wasira, Kenan Kihongosi na Wabunge 50 wa CCM, pamoja na malori 30 na matrekta 33 yakusomba watu.
Nani ajuaye? Labda Yuda hakuwa na nia mbaya sana dhidi ya Yesu. Huenda alifikiri anawapiga changa la macho Wayahudi. Alijua Yesu ni mtu wa miujiza, mwenye uwezo wa kujinasua katika hali yoyote. Pengine aliamini atachukua vipande vyake 30 vya fedha, huku Yesu akiwashangaza tena waliokuja kumkamata.
Anyway , CCM haipo tena. TUBU na karibu CHADEMA. Umetukanwa sana. Dhihaka hiyo hapaswi kufanyiwa hata Mwenyekiti wa TAWI.