βTunahitaji kujiandaa kwa makini na Ligi ya Mabingwa sababu ni ngumu. Plateau ni timu ngumu yenye washambuliaji wenye kasi na mabeki imara.β- Kocha Sven Vandenbroeck baada ya #CAF kutangaza ratiba ya michezo ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. #TotalCAFCL#NguvuMoja
"Nimekuja kwa tiketi ya Wana Muheza lakini mahali nilipo naweza kusukuma mambo mengi yakiwemo ya Wasanii, kama kuna Mtu ambaye yupo ndani ya Bunge hili kwa sasa anajua shida na matatizo ya Wasanii ni Mimi, naahidi nitakuwa kimbelembele ilk kuhakikisha nawasaidia"- Mwana FA
Asilimia 80 Ya Vijana Tuliopo Twitter Tumetoka Familia Maskini. Na Tulio Wengi Hatajafanikiwa Kiuchumi , Kiasi Kwamba Ukaenda Pale Bugando Ukaambiwa Matibabu Yako Ni Milion 1.5. Utaanza Kulia Utoe Wapi Hiyo Hela. Lakini Unaigiza Maisha Twitter . Ishi Uhalisia Wako.
Twitter Ndo Sehemu Pekee Kuna Upotoshaji Mkubwa Sana Na Ndo Sehemu Pekee Kila Mtu Anajifanya Anakipato Kikubwa. Eti Usipokuwa Na Pesa Za Kutosha Usioe. Mbona Mtaani Watu Vipato Vyao Havieleweki Na Wameoa. Kikubwa Tafuta Mwanamke Unae Endana Nae Kiuchumi.
πΉπΏ | The #KariakooDerby is the best derby in Sub-Saharan Africa.
I was honored to witness this derby in 2018. I would say that this derby is a real simulation for Ahly and Zamalek derby in the old days!
#KariakooDerby