Wakati mwingine Ni Bora kuwa kimya itakupa thamani na kukujenga kuwa jasiri kuliko kulia Lia,kuwa mnyonge kuonyesha magumu unayopitia,jikaze hata Kama unaumia tafuta tiba angalau utoke ulipo🙅♂️
Kuna majira kwenye maisha huwezi kuyakwepa, majira ya maumivu makali na ugumu wa hali ya juu.
Huu ni wakati wa kawaida kwa kila mwenyewe ndoto kubwa...!!
Ukijaliwa kuamka asubuhi ujue Mungu bado ana mpango na wewe - sasa acha kujikatisha tamaa
Fanyia kazi ndoto yako 💪🏽 It works y’all! Just FOCUS!
#TembeaNjiaYako